Philippians 2:10-11


10 aili kwa Jina la Isa, kila goti lipigwe,
la vitu vya mbinguni, na vya duniani,
na vya chini ya nchi,

11 bna kila ulimi ukiri ya kwamba
Isa Al-Masihi ni Bwana,
kwa utukufu wa Mungu Baba.

Ng’aeni Kama Mianga Katika Ulimwengu

Copyright information for SwhKC